Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro, wakisherekea siku ya X-Mas katika eneo la ufukwe wa Bwawa la Mindu, kama walivyokutwa eneo hilo ambalo ni chanzo cha maji kwa matumizi ya wakazi zaidi ya asilimia 70 wa Manispaa hiyo, kufuatia hali hiyo , Serikali ya wilaya imepiga marufuku kufanyika kwa shughuli zozote zikiwemo za uvuvi wa samaki.
No comments:
Post a Comment