Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Bw. Masha J.
Mshomba akitoa mada kwa Wahariri wa vyombo vya habari Tanzania chini ya Jukwaa
la Wahariri, (TEF) wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa TEF mjini Morogoro leo Januari
29.01.2016. Mshomba aliwaeleza Wahariri hao WCF  inakusudia kuanza kulipa mafao kuanzia julai
mosi mwaka huu wa 2016. Kati ya mambo yaliyojumuisha mada hiyo ni pamoja na uchangiaji
katika Mfuko, adhabu kwa mujibu wa sheria namba 20/2008. (Picha na Imma
Matukio)
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Bw. Absalom Kibanda akimkaribisha
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Bw. Masha J. Mshomba
kutoa mada katika ukumbi wa Nashera Morogoro. WCF inakusudia kuanza kulipa
mafao kuanzia julai mosi mwaka 2016. Kati ya mambo yaliyojumuisha mada hiyo ni
pamoja na uchangiaji katika Mfuko, adhabu kwa mujibu wa sheria namba 20/2008
 Mhariri Haura Shamte akizungumza
 Mhariri Balinagwe Mwambugu, akizungumza
 Mhariri Paul Maregesi, akizungumza
 Picha ya pamoja
Bw. Msomba akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuwasilisha mada yake
 

 
 







 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment