Kamera ya mtaa kwa mtaa imezinasa Taswira hizi za namna hali ilivyo hivi sasa eneo la Mtaa wa Lindi, Kariakoo jijini Dar es salaam siku chache baada ya mvua kupiga, meneo mbalimbali ya Jiji bado yako namna hii. Pichani ni baadhi ya wananchi wakitembea mstari mmoja kukwepa tope zito lililopo barabarani hapo.
Hivi ndivyo mambo yalivyo katika Mtaa huo kama zilivyonaswa Taswira hizi na Mwanalibeneke Emmanue Massaka.
No comments:
Post a Comment