Dogo akiwa Mguu pande katika Lango kuu la Fundi Cherehani na kumtaka Fundi ampatie Nguo zake za Shule kwani baadhi ya Shule zimesha fungua ila Dogo hakuenda kutokana na Nguo zake za Shule zipo hapo kwa Fundi....
Ang'atuki Mtu hapa Leo...
Dogo akiwa bado katika Lango kuu la Fundi Cherehani Mtaani kwetu hapa..
#Kamerayamtaakwamtaablog..
No comments:
Post a Comment