Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilipata kushuhudia jinsi ambavyo moja ya Mti Mrefu Mtaa wa Jirani ukipanguliwa na Vijana wawili Mtaani hapo ambao pia ni wa kongwe katika Fani hiyo ya kupolomosha Miti mirefu kama hako....
Mkata Mti alie juu akiwa katika ubora wake..
Hapa Kazi tuu..
#Kamerayamtaakwamtaablog.





Hawa ni hondari sanaaa. ...nawapa pongezi sanaaa.
ReplyDelete