HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 6, 2015

WAKONGWE WA KUANGUSHA MITI MTAANI KWETU HAWA HAPA....

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilipata kushuhudia jinsi ambavyo moja ya Mti Mrefu Mtaa wa Jirani ukipanguliwa na Vijana wawili Mtaani hapo ambao pia ni wa kongwe katika Fani hiyo ya kupolomosha Miti mirefu kama hako....
Mkata Mti alie juu akiwa katika ubora wake..
Hapa Kazi tuu..
#Kamerayamtaakwamtaablog.

1 comment:

Post Bottom Ad