FAMILIA ya Marehemu Mzee Anthony Kazimoto Ritte wa Kinondoni B DSM, wanasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Apolito Anthony Ritte kilichotokea katika Hospitali ya Muhimbili saa sita usiku wa kuamkia tarehe 05/12/2015. Mazishi yatafanyika siku ya Jumatano tarehe 09/12/2015 katika makaburi ya Kinondoni.


No comments:
Post a Comment