Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi,Fulgence Mponji akikabidhi bendera kwa Mkuu wa majeshi mstaafu ,Jenerali George Waitara ambaye ndiye kiongozi wa msafara huo.
Washiriki wakijiandaa kuanza safari.
Safari ya kuelekea kilele cha Mlima Kilimanjaro ikaanza kwa maafisa 24 wa JWTZ .
Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akizungumza katia
hafla fupi ya kuanzisha safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa maofisa
24 wa jeshi la wananchi Tanzania .kulia ni Mkuu wa Majeshi
Mstaafu,Jenerali George Waitara na kushoto ni Mnadhimu mkuu wa Jeshi la
wananchi ,Luteni Jenerali ,Samweli Ndomba.
Mhifadhi Mkuu ,Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,( KINAPA) akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Washiriki.
Afisa Masoko wa KINAPA,Antypas Mgungusi akieleza jambo wakati wa hafala hiyo.
Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi ya Utalii,Balozi Charles Sanga ni mingoni mwa washiriki wa zoezi hilo la kupanda mlima Kilimanjaro.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kada ya Kaskazini.



















No comments:
Post a Comment