HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 18, 2015

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo tarehe 18, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano wiki iliyopita. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad