Wazee wa kazi wakiwa katika kazi ya ujenzi wa Taifa (a.k.a Zege halilali) leo walipo naswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa Kibaha Mkoani Pwani.
Wanamama ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwa katika ubora wake wa kuchanganya zege ili lisilale kama alivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa leo Kibaha mkoani Pwani.
Hapa kazi tuu walisikika wakisema.
No comments:
Post a Comment