HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 1, 2015

MAHAFARI YA BI.ASHA IBRAHIMU YAFANA SANA HUKO MBALIZI MKOANI MBEYA....

 Katika Taswira Ni Bi.Asha Ibrahim Muhitimu wa kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Mbalizi Iliyopo Mkoani Mbeya Wilaya Ya Mbeya Vijijini Katika Hafra ya kuhitimu Kidato cha Nne Katika shule hiyo.
Binti yetu Asha Ibrahim sanjari na Cheti chake cha kuhitimu kidato cha nne, katika Ukumbi wa shule ya Sekondari Mbalizi Mbeya Vijijini
Kutoka Kulia ni Mama Mzazi Chiku Ibrahim, Bi.Asha Ibrahimu na Mama Karim Shoto katika Taswira ya pamoja katika Hafra ya Maafali ya kumpongeza Bi.Asha Ibrahim kuhitimu kidato cha nne Katika Shule Ya Mbalizi Sekondari iliopo Mkoani Mbeya.
Kutoka Shoto ni Salma Atick Mama Mdogo wa Muhitimu Asha Ibrahim Ambeye pia ni Mtahiniwa mtarajiwa...
Mama Mkubwa Shoto Sikitiko Mursali Akimtunuku zawadi Bi Asha Ibrahim.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad