Libeneke lako pindwa la Mtaa kwa Mtaa Blog lilizama moja kwa moja Jijini Mbeya katika harakati za kuangazia Mitaa ya hapa na pale kama kawaida ya Mtaa kwa Mtaa ilikutana na baadhi ya Vijana wenye Vipaji asilia vya kuluka Sarakasi kama Mmoja wapo hapo katika Taswira akiwa Juu kuhitimisha Sarakasi yake.
MR.PENGO nae katika kuwasapoti Vijana katika Fani kubwa waliyo nayo ya kuruka Sarakasi kwa Umahiri wa hali ya juu..
#Kamerayamtaakwamtaablog.
No comments:
Post a Comment