Kamera yetu kwa ubora wake ulio tukuka kumnasa Bibi Wetu wa Kitaa akiwa katika Ngazi akihesabu hesabu baadhi ya Matundu katika Bati lake pendwa na pekee analo litegemea ili aweze kujikomboa katika msimu huu wa Mvua za Vuri kama aonekanavyo hapo Bibi wetu wa Kitaa katika Taswira..
Bibi hana nongwa mara baada ya kupata idadi ya Matundu sasa anateremka chini..
Hapo Bibi wetu alionekana akitoa Takwimu kwa moja ya Mjukuu wake juu ya Matundu korofi yaliyopo juu ya Bati hilo..
#Kamerayamtaakwamtaablog.
No comments:
Post a Comment