Madogo wakipiga kitabu Nyumbani kwao huku Radio ya Mkulima ikiwapoza poza juu ya ndoo...
Madogo wakijaribu kufanya Utafiti katika Kitako cha Kidumu cha Maji kotokana na kuvuja kwake...
Wakina Shosti nao wakiwa wamechoka wakirudi Nyumbani kuajiri ya kupata chochote..
Akiwa ndani ya Sale za Shule Kutoka kuteka Maji..
#Kamerayamtaakwamtaablog.
No comments:
Post a Comment