HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 12, 2015

MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Octoba 12,2015.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose na ujumbe aliofuatana nao wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo          Octoba 12,2015.  
  (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad