Mtoto huyu alinaswa na kamera yetu akipata kifungua kinywa yani chai na ubwabwa asubuhi kwa ulaji wa kiujuzi zaidi kulinganisha na vyakula vinginevyo...Picha na Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa blog.
Akifinyanga Tongezz..
Akifurahia Punjezz..
Akiweka Kinywani Punjezz..
Akimeza Punjezz..
Chai baada ya kuhisi kuelemewa na Punjezz Kooni..
Kikombe Kinywanii....
Baada ya kuona kwamba kunywa pole pole hakutatui tatizo lililo mkumba kukabwa na Punjezz ikambidi anyanyue Kikombe Nyuzi Tisini 90..
"Duu!! Hapa Sasa Mwake Bado Mchana Sasa Mbona Watanikoma Wazazi na wanavyo lalamike eti Shilingi imepanda watanitaka ubaya kwenye Msosi tuu..."










No comments:
Post a Comment