Mnyamwezi akiwa juu ya Benchi la Ufundi akiketi kwa kuweka Kitako katika Ubapa wa Benchi hilo la Ufundi kupata Upepo mwanana na muruwa kabisaa...Picha na Mtaa kwa Mtaa Blog.
Hapo Mnyamwezi akiendelea kufyonza Kiyoyozi na harufu maridadi kabisa kutoka kwenye Benchi hilo....
Taswira ya mnyamwezi kwa mbaaalii..
Pekeneke akijishahuri jambo juu ya Benchi hilo la Ufundi..





No comments:
Post a Comment