HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 13, 2015

VIJANA WAKIONYESHA UBORA WAO KATIKA UENDESHAJI WA BAISKELI MTAANI KWETU....

Katika katiza katiza za mataa kwa mtaa kutafuta yake mtaani ilikumbana na vijana walio kuwa wakijifua katika kuonyesha Ubora wao katika Uendeshaji wa Baiskeli katika moja ya Kiwanja cha Michezo Mtaani....Picha na Mtaa kwa Mtaa blog.
Hapo ni moja ya kijana akiwa amepiga mweleke mara baada ya kuzidiwa Maarifa.
Kipando kikiwa kimeinuliwa huku muendeshaji wa Kipando hicho aki ganga maa kwenye Kipando..
Vijana wakisukumana..
Dogo akionyesha ubora wake..
Hii inaitwa "Unaweza wewe..."

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad