kamera ya mtaa kwa mtaa ilipata kumnasa dogo mmoja majina yake kapuni akiwa katika kiota chake mwanana kabisa alicho jitengenezea mwenyewe mtaa wakina nanihii kuajili ya kuendeleza michezo ya hapa na pale ya kila siku kama ilivyo kawaida yake ya kila siku...picha na mtaa kwa mtaa blog.
hapa dogo akijifariji kwa kuendeleza mchezo aujuao mwenyewe kwenye kiota hicho.
baada ya michezo kumnogea dogo huyo basi usingizi nao ukachukuwa nafasi yake pale pale.
MUNGU ibariki Tanzania WAKE imani WENYE VYEO NA WALOISHIKA NCHI TANZANIA KUNA WATU MASIKINI NA HATIMA YAKE HAIJULIKANI
ReplyDelete