Eneo la mafiati ndipo taswira hii ilipo patikana ya mama nanii akiwa amebeba ndoo sambamba na mfuko wa salufeti ukiwa umetiwa unga kuajili ya adhina ya chakula nyumbani.
hatimae safari hiyo imefika tamati sehemu husika huku hatua za kusogea mlangoni zikiendelea.
No comments:
Post a Comment