HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 4, 2015

VIDUME VYA NJOMBE SI MCHEZO KWA KUPIGA KAGO.

Mzee wa mtaa kwa mtaa katika ziara yake fupi mkoani Njombe kama kawaida  kukuletea taswirazz za vidume vya shoka mkoani humu vyenye ustahaa na umahiri katika upiganaji wa kupiga dili mbalimbali kiukweli vidume vya njombe nime wapa saluti kwa kuwa bize na kazi na si vinginevyo.picha na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) globu ya jamii.

 baiskeli huku zina jiongoza zenyewe na huu utaalamu ni kutoka njombe     huku kwa wachapa kazi.

boda boda nazo hazilali nikubebeshwa mizigo ya nguvu na kuchapa kazz tu.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad