Kamera ya mtaa kwa mtaa kamailivyo funzwa katika unasaji wa taswirazz na umahiri wake ilibahatika kunasa taswira za baadhi ya magari mwendo kasi yakionyesha umahiri wa spidi zao pindi wawapo barabarani eneo la sonyange kutoka mkoani mbeya kwenda dar es salaam kama waonekanavyo katika taswira hapo juu na hii tabia hufanya na madeleva wengi wa mabasi pindi wanapo taka kuyapita magari mengine huwa hawaangalii usalama wa eneo wanalo taka kuovateki kama ni kwenye kona, mlima, matuta mashimo na kadharika na ndio maana ajari nyingi za mabasi hutokea sambamba na maroli kwa kuto zingatia maeneo ya kuovateki.
ona hapa mabasi yote mawili yakifuatana kwa kulipita roli eneo la sonyange.
hapa ghafra basi moja lilichepuka haraka baada ya gari nyingine ndogo kuja kwa mbele huku roli nalo likiendelea na safari.
ona sasa mambo ya nayo fanyika humu barabarani sasa kama gari hiyo ndogo inge kuwa kasi lolote si lingeweza tokea hapa.
mwengine nae akiovateki ingawa njia hiyo inamashimo mashimo.
No comments:
Post a Comment