HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 13, 2015

RASI MAKUKU HUYU APA SASA AKIWA MZIGONI KAMA KAWAIDA.

 Katika katiza katiza ya mtaa kwa mtaa blog leo mapema kamera yetu ikamnasua moja kwa moja mdau Franko a.k.a lasi makuku akiwa mzigoni katika operetion ya kutumbua na kucharanga vituweo mtaa wa nanihii pale. Picha na Mtaa Kwa Mtaa Blog.
 mambo ya upasuaji kwa lasi huyo yakiendelea kwa usaidizi wa mzee makini kwenye huduma hiyo.
                  mazagazaga ya utumbo, filigisi na mayai yakiwa kando.
                                   huyu ndio lasi makuku bwana mtaalamu katika fani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad