HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 13, 2015

HUU SASA SIO UFUNDISHAJI WA KUENDESHA PIKIPIKI.

 Kamera ya mtaa kwa mtaa blog ilipo chomoza tuu kwenye mtaa wa jirani na kukuta mafunzo ya kuendesha pikipiki aina ya bodaboda yakiendelea kwa binti mmoja mtaani hapo, lakini jambo la kushangaza zaidi katika mafunzo hayo ni mbinu tuu ya ufundishaji kwa nwalimu wake anae mpa somo kwanza alipo kaa nisiti ambayo ilibidi aketi binti huyo lakini nafasi hiyo kaichukua mwalimu analake jambo huyu.Picha na Mtaa Kwa Mtaa Blog.
binti akichekelea jambo pamoja na mpambe kulia juu ya mafunzo hayo ya kuendesha pikipiki.
   meno yote njeee kwa raha anayo ipata kwa kuendesha chombo hicho kwa mala ya kwanza.
 mwalimu akiendelea kutoa maksi kwa mwanafunzi wake wakiwa katika mafunzo yao.
baada ya kumaliza wakatia guu tena kwa kozi fupi waliyo ifanya leo huku binti huyo kwenye kipandwa akimlingishia utamu wa chombo hicho mwenzake alie kamatia ndoo ya maji.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad