HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 11, 2015

MDAU GAMA MAPEMAAAA AKILIANZISHA.

 Kamera ya mtaa kwa mtaa imemnasa uso kwa uso mwalimu katika tasnia ya filamu jijini mbeya Prence Gama akiwa ndani ya kili kuu yeye mkewa na swaiba wake wakiwa wana hama mapemaa kweupeee hii uhashiria eidha baba mwenye nyumba au mama mwenyenyumba kachachawa.
 Prince Gama kulia akiwa na swaiba wake na shoto ni waubavu wake wakiwa wameneswa na kamera yetu ya mtaa kwa mtaa blog.
walee wakipigwa na butwaa kwa kuto jua kuwa kamera ya mtaa kwa mtaa ipo kwenye dolia. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad