Madereva wengi nchini hususan madereva wa magari mwendo kasi hupata hajari mara kwa mara pindi wawapo barabarani kwa chanzo cha kukwepa mashimo makubwa yaliyopo barabara kuu, haya mashimo kwa namna moja ama nyingine kiukweli ndio huwa chanzo kikuu cha ajari zilipotiwazo humu barabarani, kutoka mbeya kwenda dar hii barabara inamashimo yenye ukubwa na yaliyo dumu kwa muda kadhaa (TAN ROAD) muipitie barabara hii kwani inahitaji kupigwa msasa kwa kuyaziba mashimo hayo kama tukifanya hivyo kiwango cha ajari nyingi zitokanazo na ukwepaji wa mashimo hayo zitapungua kwa kasi kubwa na hizi ni baadhi ya taswira za mashimo baadhi yaliyopo barabara kuu ya kutoka Mbeya kwenda Dar es salaam. na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) wa globu ya jamii.
hii ndio hali halisi iliopo hivi sasa kwa haya mashimo mashimo yaliyopo barabara ya kutoka Mbeya kwenda Dar es salaam.
haya mashimo huongezeka kadri jinsi magari yanavyo zidi kupita barabara hiyo na mvua zinazo nyesha.
hali ni tete huku wahusika wa hili tusilifumbie macho jambo hili.
mambo huku si shwari (TAN ROAD) tuamke hili jambo ni hatari sana kwa barabara kuu kama hiizi.
Saturday, April 11, 2015
Home
Unlabelled
HAYA MASHIMU BARABARA KUU TOKA MBEYA KWENDA DAR ES SALAAM YATATUMALIZA.
HAYA MASHIMU BARABARA KUU TOKA MBEYA KWENDA DAR ES SALAAM YATATUMALIZA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)













No comments:
Post a Comment