Mapema leo gari la kubeba taka nusu lilete zengwe la moto baada ya kubeba taka taka zenye moto ndani yake ambazo zilikuwa zikiwaka taratibu bila kubainika hatimae kukolea kutokana na upepo pindi gari hilo lilipo kuwa barabarani eneo la mwanjerwa jijini mbeya.. picha na Mtaa Kwa Mtaa Blog.
hapa mmoja miongoni mwa wasafirishaji wataka hizo akiwa amestukia mchezo baada ya moto huo kuzidi barabarani na kuambiwa na baadhi ya wakazi eneo la mwanjelwa jijini mbeya.
hapa jitihada za kuuzima moto huo zikifanyika.
moto ukiendelea kuzimwa huku gari ikiwa pembeni na moto uki endelea kuwaka hii ni hatari ilio sababishwa na baadhi ya watu wenyetabia za kuwasha moto kwenye maguba haya ya kuhifadhia taka taka.
Hatimae juhudi za kuzima moto huo zika timia na moto kuzima.
Saturday, April 11, 2015
Home
Unlabelled
GARI TAKA NUSU LIWAKE MOTO KWA KUTEMBEA NA TAKA ZENYE MOTO.
GARI TAKA NUSU LIWAKE MOTO KWA KUTEMBEA NA TAKA ZENYE MOTO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






No comments:
Post a Comment