Upeke peke wa libeneke hili la mtaa kwa mtaa blog mtaani kama kawaida ime wanasa wataalamu wa kukata na kuweka wakikata nyumba ya kina nanii pale baada ya kukosa karo ya kulipa katika shilika letu hili la nishati ya umeme lakini siuna muona mwenye mzee akiwa hana mikono ya bandia kuuajiri ya kazi hiyo na ukiona hivyoo tuu ujue kaisha zoeea kazi huyo.
hawa nao wakitoa maelekezo kwa mtaalamu juu ya kinala.
Thursday, February 26, 2015

Home
Unlabelled
WAZEE WA KUKATA NA KURUDISHA HAWA HAPAA.
WAZEE WA KUKATA NA KURUDISHA HAWA HAPAA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment