Kamera ya mtaa kwa mtaa blog kunasa na kunasua ni jadi yake kama ilivyo kunasia taswira hii maridhawa kabisa na hii inaashilia ni jinsi gani amani imetawala hapa si unaona wakina snopi dog dog nao wakiwa kilingeni na wadau bila kash kash yoyote ile wala kuogopana hapa ni amani amani tuu.
No comments:
Post a Comment