HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 24, 2015

TAYARI KISHALIA HAPA

 libeneke hili sikuzote na kama kawaida huwa haliwi mbali na mitaa, katika katiza katiza  mtaani leo ikakumbuna na tukio la mweleka wa bodaboda katika eneo la mwanjelwa mtaa wa kongo jijini mbeya, chanzo cha mweleka huo ni kama kawaida yao bodaboda na haraka zao katika harakati za kumkwepa muungwana alie kuwa akikatiza mdogo mdogo.
      kijana alie kuwa amepakiwa akiwa katika jitihada za kunyanyua pikipiki.
 jamaa wa pikipiki wakiicheki pikipiki yao kama iko vizuri kabla ya kujicheki wao kwanza huku wakipewa semina ya nguvu kutoka kwa wafanya biashara wa eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad