Miss Singida Kanda ya Kati 2014/15,Doris Mollel akikabidhi Blanketi kwa watoto wa jamii ya Hadzabe waliojengewa Bweni na Serikali ya Wilaya na Mkoa wa singida katika shule ya msingi Munguli Wilayani Mkarama ikiwa ni jitihada za Serikali kuwahamasisha kuduhuria madarasa bila kukosa na kujifunza maisha ya kawaida kama watoto wa jamii nyingine. Doris alichangia vitabu na ma-blanketi vyenye thamani ya Tsh 1,000,000/=. Akishuhudia tukio hilo ni Dk. Paseko Kone, Mkuu wa Mkoa wa Singida na Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo.
Miss
Singida Kanda ya Kati 2014/15,Doris Mollel (wa pili kushoto) akiongea
na waandishi wa habari wakati alipohudhuria kwenye hafla ya ufunguzi wa
bweni jipya maalum kwa watoto wa jamiii ya hadzabe katika shule ya
msingi Munguli, wilaya ya Mkarama mkoani Singida. Uzinduzi wa bweni hili
ni matunda ya jitihada za Serikali ya wilaya hiyo na mkoa wa Singida
kuwahamasisha watoto hao kuhudhuria madarasa bila kukosa na kujifunza
maisha ya kawaida kama watoto wa jamii nyingine. Doris alichangia vitabu
na ma-blanketi vyenye thamani ya Tsh 1,000,000/=. Hafla hiyo
iliandaliwa na Mkuu wa Wilaya Ndg Edward Ole Lenga na mgeni rasmi
alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Singida,Dk. Paseko Kone (Wa kwanza kushto).
Mlezi
wa watoto wa jamii ya Hadzabe katika shule ya msingi Munguli, wilayani
Mkarama mkoani Singida akimpongeza Miss Singida Kanda ya Kati
2014/15,Doris Mollel baada ya kumteua kuwa ‘balozi wa elimu’ wa watoto
wa jamii ya Hadzabe kwenye shule hiyo. Doris ambaye ni Miss Singida na
Kanda ya Kati 2014/15 alichangia vitabu na ma-blanketi vyenye thamani ya
Tsh 1,000,000/=. Hafla hiyo iliandaliwa na mkuu wa Wilaya Ndg. Edward
Ole Lenga na mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Singida,Dk. Paseko Kone
(mwenye suti nyeusi).




No comments:
Post a Comment