Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU unaofanyika katika ukumbi wa Kuringe.
|
Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dk Edward Hosea akizummza wakati wa Mkutano wa mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU .
|
Mkurugenzi wa idara ya elimu TAKUKURU ,Marry Mosha akitoa neno la shukurani mara baada ya mgeni rasmi kufungua mkutano huo.
|
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akiteta jambo na Mkurugenzi wa TAKUKURU Dk Edward Hosea.
|
Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa wa Kilimanjaro pia walikuwa waalikwa katika mkutano huo.
|
Dk Hosea akitoa zawadi kwa mgeni rasmi RC ,Gama.
|
Makundi mbalimbali yakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano huo.
|
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment