Leo ni siku kumbukumbu ya kuzaliwa Mwanalibeneke nguli hapa nchini na Mmiliki wa Globu ya Jamii,Ankal Muhidin Issa Michuzi.Libeneke hili na timu yake nzima inamtakia kila la kheri la maisha marefu Mkali huyu Taswira adimu,Mwanzilishi wa Libeneke la Kimatumbi,Mwalimu wa Walimu,Mshkaji na Rafiki wa kila mtu.
Hepii Besdeiii Ankal.......
Happy birthday ankal, how older are you?
ReplyDelete