Nipo kwenye Maandalizi ya kutegeneza filamu mpya ya Vikaragosi na jamaa zangu hawa wa Ninja Turtles,ambapo ndani ya filamu hiyo mie ntacheza kama kubwa la maadui.hivyo kaeni mkao wa kula kwa kitu hicho maridadi kabisa.toka shoto ni Leonardo,Raphael,Donatelo,Mie Michuappelo na Mshkaji wangu wa Ukweli Michaelangelo.
Wednesday, July 2, 2014
Home
Unlabelled
Mzee wa Mtaa kwa Mtaa ndani ya Filamu ya Vikaragosi toleo jipya - stei tyunidiiiiii
Mzee wa Mtaa kwa Mtaa ndani ya Filamu ya Vikaragosi toleo jipya - stei tyunidiiiiii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment