Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akifunguwa Warsha ya Kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi (PWP) katika mpango wa Taifa wa Kunusuru Kaya Masikini Tanzania, ilioandaliwa na TASAF Taifa. Iliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mkurugenzi Uratibu wa Shughuliza Serekali Zanzibar, Ndg Issa Ibrahim Mahmoud, akitiwa maelezo ya Ufunguzi wa Warsha ya Kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi (PWP) katika mpango wa Taifa wa Kunusuru Kaya Masikini Tanzania unaotekelezwa na TASAF, uliofanyika katika ukumbi mdogo wa Baraza la Wawakilishi Chukwani. Kushoto kwake Mkurugenzi wa Program wa TASAF Ndg Amadius Kamngenge akifuatiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe Mohammed Aboud. Mohammed.
Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya Kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi (PWP) katika mpango wa Taifa wa Kunusuru Kaya Masikini Zanzibar wakimsikiliza Mkurugenzi wa Program wa Tasaf Ndg. Amadius Kamangenge, akitowa maelezo ya Mradi TASAF.wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo. Yaliofanyika katika ukumbi mdogo wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mkurugenzi wa Program wa TASAF Ndg Amadius Kamagenge, akitowa maelezo ya Utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Ujenzi ambayo pia itawanufaisha walengwa wa mpango wa kunusuru kaya masikini Tanzania.
Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Warsha ya Kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi (PWP) katika mpango wa Taifa wa Kunusuru Kaya Masikini Tanzania, ilioandaliwa na TASAF Taifa. Iliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akiwa katika picha na Maofisa wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) baada ya ufunguzi wa Warsha ya Kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi (PWP) katika mpango wa Taifa wa Kunusuru Kaya Masikini Tanzania, ilioandaliwa na TASAF Taifa. Iliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
No comments:
Post a Comment