HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 8, 2014

TASWIRA MBALI MBALI ZA TAMASHA LA NYAMA CHOMA JIJINI DAR LEO

 Wadau ndani ya Tamasha la Nyama Choma,toka kulia ni Dimo Dibwe,Carol Ndossi (Muandaaji wa Tamasha hilo la Nyama Choma) pamoja na Mdau Edwin MacTemba.
 Wadau wakibadilishana Mawazo ndani ya Tamasha la Nyama choma.
 Nyama ikiendelea kuiva jikoni huku walaji wakiendelea kuimezea Mate. 
 Mtaalam wa kuchoma nyama toka jamii ya Kimasai akitest mzigo kama uko poa.
 Wadau wakiendele kutafuna nyama huku zingine zikiendelea kuiva taratibu.
 Maandalizi ya Nyama yakiendelea.
 Mshkaki maridadi kabisa.
 Mbuzi mwanana kabisa kaning'inizwa.


 Wadau mbali mbali wakiwa ndani ya Tamasha hilo la Nyama Choma. 
 Mapacha watatu wakizikonga vyema kabisa nyoyo za mashabiki wao waliofurika kwa wingi kwenye Tamasha hilo la Nyama Choma.
 Mie na Mdau Pascal Mabagala
 Wadau. 
 Mwanalizombe asilia,Prof. Jay na wadau.
kazi ikiendelea. 

1 comment:

  1. Inaonesha pali fana sana la kin vinyaji vya kusukumia nyama choma sija viona

    ReplyDelete

Post Bottom Ad