HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 7, 2014

BIA YA SAFARI LAGER NA NDOVU SPECIAL MALT ZAREJEA NCHINI NA TUZO YA UBORA WA KIMATAIFA 2014 “INTERNATIONAL HIGH QUALITY TROPHY”

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akiwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa(Safari Lager High International Quality Trophy iliyoshinda hivi karibuni kutoka katika taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa.
Picha ya Pamoja mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa(Safari Lager High International Quality Trophy) iliyoshinda hivi karibuni kutoka katika taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa.
Picha ya Pamoja mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa(Ndovu High International Quality Trophy) iliyoshinda hivi karibuni kutoka katika taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa.
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli (kulia) akimkabidhi Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Dar es Salaam, Calvin Martin tuzo iliyopata bia ya Ndovu Special Malt mara baada ya kuwasili kutoka nchini Ufaransa(Ndovu High International Quality Trophy) Dar es Salaam jana.
Mpishi wa bia wa Kampuni ya bia nchini(TBL), Cavin Nkya(katikati) akimkabidhi Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Dar es Salaam, Calvin Martin tuzo iliyopata bia ya Safari Lager mara baada ya kuwasili kutoka nchini Ufaransa(Safari Lager High International Quality Trophy) Dar es Salaam jana.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo (katikati) akimkabidhi Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Dar es Salaam, Calvin Martin Medalo ya dhahabu iliyopata bia ya Safari Lager mara baada ya kuwasili kutoka nchini Ufaransa(Safarai Lager High International Quality Trophy) Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL wakijipongeza kwa kushinda tuzo mbili kwa pamoja.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL wakijipongeza kwa kucheza muziki mara baada ya kushinda tuzo mbili kwa pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad