Wanafunzi wanaochukua taaluma mbalimbali
walipata nafasi ya kuwaeleza waajiri nini wanaweza kufanya pindi
watapato nafasi ya kuajiri wa katika taasisi ,kampuni na mashirika
mablimbali.
Mwanafunzi wa mwaka wa tatu taaluma ya
Meneja rasilimali watu ,Rusma Ndosi akitoa maelezo kuhusuana na
taaluma yake hiyo na kwa nini ni muhimu kwa waajiri kuchukua
wananfunzi katika chuo hicho.
Wanafunzi wanaochukua taaluma mbalimbali
walipata nafasi ya kuwaeleza
waajiri nini wanaweza kufanya pindi watapato nafasi ya kuajiri wa katika
taasisi ,kampuni na mashirika mablimbali.
Mkurugenzi msaidizi wa kampuni ya Marenga
Jonas Mshiu akizungumza na wananfunzi wa Chuo kikuu cha Ushirika na
Biashara ,MUCCoBS wakati wa siku ya Career Day.
Wanafunzi wanaochukua taaluma mbalimbali
walipata nafasi ya kuwaeleza
waajiri nini wanaweza kufanya pindi watapato nafasi ya kuajiri wa katika
taasisi ,kampuni na mashirika mablimbali.
Baadhi ya wanafunzi wa taaluma mbalimbali
walioshiriki kutoa mada katika siku ya Career iliyofanyika chuoni
hapo.
Baadhi ya waajiri.
Wawakilishi wa kampuni ya Marenga Investment ya mjini Moshi.
Kampuni ya Fast Jet iliwakilishwa na kiongozi wa timu ya Mauzo wa Fast Jet kanda ya kaskazini Neema David.
Kwa upande wa wanahabari Fadhili Athumani wa kampuni ya New Habari alipata kuzungumzia nafasi ya waandishi wa habari katika kufanikisha malego ya wanataaluma.
Baadhi ya wananfunzi katika chuo kikuu cha Ushirika na Biashara Moshi(MUCCoBS)wakiwa katika ukumbi wa Nyerere kufuatilia Career Day iliyofanyika chuoni hapo.

Washiri katika siku ya Career katika picha
ya pamoja.
Mshauri wa wanafunzi chuo kikuu cha Ushirika
na Biashara Moshi ,Mr Machimu akiteta jambo na baadhi ya
wakufunzi.
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii
kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment