Wakazi wa Mbagala mwisho jijini Dar es Salaam Bi.Fatuma Ali(kushoto)na Khadija Rajabu wakiwa wakionesha vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo linalowasumbua wanawake kuwa linatibika. Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani na ratibiwa na CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.
Kikundi cha wasanii wa muziki wa kiasili cha “Mpoto Theater”wakitumbuiza na kuonesha vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo linalowasumbua wanawake kuwa linatibika. Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani,zilizoandaliwa na CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.
Msaani wa muziki wa kugani Mrisho Mpoto akitoa elimu kwa wakazi wa Mbagala rangi tatu kwa njia ya kugawa vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo linalowasumbua wanawake kuwa linatibika. Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani na ratibiwa na CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.
Baadhi
ya wakazi wa Tandika sokoni jijini Dar es Salaam,wakisoma vipeperushi
vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa
Umma juu ya tatizo hilo linalowasumbua wanawake kuwa linatibika kwa
ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.Kampeni hizo
zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani.
Mmoja
wa wasanii wa kundi la “Mpoto Theater”akigawa vipeperushi kwa Mariam
Khamis vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa
elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo linalowasumbua wanawake kuwa
linatibika kwa ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFPA na Vodacom
Foundation.Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku
ya Fistula duniani.
Wafanyabiashara ndogondogo wa Mbagala rangi tatu jijini Dar es Salaam Abdalla Juma(kushoto) Albart Mhogo(kulia)wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa “Fistula inatibia” wakati wa kampeni ya kutoa elimu kwa Umma juu ya tatizo hilo linalowasumbua wanawake kuwa linatibika. Kampeni hizo zinafanyika nchi nzima katika kuaziamisha siku ya Fistula duniani na ratibiwa na CCBRT,UNFPA na Vodacom Foundation.
No comments:
Post a Comment