HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 25, 2014

WAFANYAKAZI WA VODACOM WAAZIMISHA SIKU YA MALARIA DUNIANI KWA SEMINA MAALUMU

Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, Bw. Erick Mfinanga (kulia) na Bi. Farida Rashid (kushoto) wakionyesha vyandarua walivyokabidhiwa katika semina maalumu ya ugonjwa wa malaria na matumizi bora ya vyandarua kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kama sehemu ya kuadhimisha siku ya malaria duniani. Semina hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa Chuo hicho katika makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mtaalam toka Chuo Kikuu cha John Hopkins cha nchini Marekani Pamela Kweka, akitoa semina kuhusiana na ugonjwa wa malaria na matumizi bora ya vyandarua kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kama sehemu ya kuadhimisha siku ya malaria duniani. Semina hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa Chuo hicho katika makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom wakionyesha vyandarua walivyokabidhiwa mara baada ya semina iliyofanyika kuhusiana na ugonjwa wa malaria na matumizi bora ya vyandarua kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania kama sehemu ya kuadhimisha siku ya malaria duniani. Semina hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa Chuo hicho katika makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad