HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 25, 2014

RAIS KIKWETE AKILIHUTUBIA TAIFA JIONI HII

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Taifa kupitia mkutano wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) baada ya kupokea maandamano yao leo katika ukumbi wa PTA katika viwanja vya SabaSaba jijini Dar es salaam muda huu. Matangazo haya yanarushwa moja kwa moja na Kituo cha TBC. 

Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye Mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad