HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 10, 2013

MIMI NA TANZANIA NINI KIFANYIKE ILI KUTOKOMEZA USHOGA?? - Patr 1

1 comment:

  1. Kanisa Takatifu la Mungu muumba wa nchi na mbingu na viumbe vyote, katika jina la Yesu, lazima tusimame wima kwenye Neno la Mungu, hata kabla ya kutunga mimba, Injili katika kitabu cha Matayo 13:24-30, Lasema" Ufalme wa mbiguni ni mfano wa mtu aliepanda mbegu nzuri kisha akaenda kulala. Shetani akaja wakati yule mtu amelala , akapandikiza mbegu ukoka katikati ya mbegu bora. Hato ngano ambayo ni mbegu bora ilipokuwa inakuwa na ukoka ukawa pia unakuwa. Watumishi wakashtuka, wakamuuliza bwana wao, huu ukoka umeyoka wapi? Je tuun'goe? Bwana akajibu, La, kwa maana pale mtakan'goa ukoka, mtan'goa na mbegu, bora, acheni vyote vikue pamoja mpaka mavuno, nitatuma wavunaji hodari, kwanza watan'goa ukoka wote nakuufunga, wautupe motoni, nfipo wavune ngano kuihifadhi.

    Fundisho 1. Ufalme wa Mbigumi mi ndoa Takatifu.
    Fundisho 2. Mpandaji mbegu bora ni wazaxi.
    Fundisho 3. Kulala ni kipindi tunapoacha kusali na kumhusisha Roho Mtakatifu katika maisha yetu. Ndipo shetani anakuja kupanda uharibifu.
    Fundisho 4. Mbegu bora ni kizazi chema
    Fundisho 5. Ukoka ni maafa na laana
    Fundisho 6. Mavuno no kipindi cha wokofu
    Fundisho 7. Wavunaji ni Malaika watakatumwa na Mungu kuja kuwaokoa watoto wetu pale tuna anza kusali, kufunga na kurudi tena kwa Kristo

    ReplyDelete

Post Bottom Ad