HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 10, 2013

Hili limekaaje kiusalama Wadau??

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa,hivi karibuni ilibahatika kuzinasa picha hizi za Moto uliokuwa ukiwaka kando kando ya Barabara kwa madau kwamba wanachoma majani yaliyokuwa marefu kupita kiasi.je katika swala zima la Usalama wa magari na wale wapitao kwa Miguu,limekaaje??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad