HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 11, 2013

Watoto wa Kitaa wakiifurahia Kamera ya Mtaa kwa Mtaa

 Hawa ni watoto wanaojihusisha na kazi ya kuomba watu mbali mbali wanaokuwa kwenye magari pindi yasimamapo kwenye mataa ya kuongozea magari jijini Dar,hapa wakionyesha furaha yao baada ya kuiona Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad