HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 11, 2013

RIBA YAENDELEA KUWATAFUNA WAHITAJI

Madhara ya riba yameelezewa kwa ufasaha kutoka vyanzo mbali mbali vya kidini na vile vya kijamii. Kama kawaida ya binadamu wameendelea kukaidi na kuipa riba majina tofauti ili ionekane nzuri lakini hilo halikufanikiwa kubadilisha uhalisia. 

Huwezi kufikiria hata mara mbili kwamba wakati umefika wa kutafuta mifumo mbadala ya kiuchumi ambayo itamkomboa binadamu na tatizo hilo. Ni leo tuu wabunge nchini Tanzania wamelalamikia kiwango kikubwa cha riba kama kikwazo cha kukopa benki.Tembelea gazeti la ‘Mwananchi’ Moja ktk malengo makubwa ya benki zinazo fuata maadili ya ki-Islam nikukataa riba ktk mazingira yake yote na badala yake hutumia mifumo ya kiuchumi mbadala ambapo mteja anagawana faida na hasara na benki. 

Uadilifu ktk jamii unapewa umuhimu mkubwa na mengineyo ambayo yanathamini uadilifu kwa pande zote zinazohusika. Kwa maelezo zaidi kuhusu benki, Saccos na uchumi unaofuata maadili ya ki-Islam tembelea http://ijuebankyakiislam.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad