Mmoja wa Vijana wenye vipaji vya Sarakasi kutoka Kundi la King of Shayo akionesha uwezo wake kwenye viwanja vya Coco Beach jijini Dar. Hili Kundi la King of Shayo linapatikana maeneo ya Kinondoni, Hananasifu na iwapo utawahitaji vijana hawa kwa ajili ya kutoa burudani ya sarakasi katika shughuli yeyote,basi wasiliana nao kwa simu zao hizi 0657056733 (Omary) au Kassim namba yake ya simu ni 0652543256.
Jamaa wanaruka kila ania ya sarakasi.
Unaona hii?
Hii je....
No comments:
Post a Comment