HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 13, 2013

Unyama huu utaisha lini nchi hii??Mtoto mchanga atupwa leo eneo la Magomeni jijini Dar

Wakazi wa eneo la Magomeni zilipovunjwa nyumba za kota jijini Dar es salaam wakishuhudia mtoto mchanga anayekadiliwa kuwa umri wa siku moja akiwa kwenye mfuko na kutupwa na mtu asiejulikana.
Askari Polisi wa kituo cha Magomeni Usalama wakiwa katika eneo hilo ambalo alitupwa mtoto mchanga akiwa amekufa kwa ajili ya kumchukua kumpeleka sehemu husika
Mwili wa Mtoto huyo ukiwa ndani ya gari la Polisi tayari kwa safari ya kwenye sehemu husika.
Wakazi wa maeneo ya jirani na hapo na wale wapita njia wakiwa katika eneo la tukuo.Picha na Mdau Philemon.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad