Katika pita pita za kila siku kwenye mitaa mbali mbali hapa jijini Dar,nilikatiza mtaa wa City Cubs uliopo mwanzoni mwa Mtaa mkubwa wa Lumumba na kukutana na bendera hii ya timu flani ikiwa na picha ya kuchorwa kama ionekanavyo.nilishtuka kidogo mwanzo lakini baadae nikabaini kuwa hii ni sehemu ya Utani wa Jadi walionao washabiki wa timu flani kubwa hapa nchini.haya leteni maoni yenu na nyie wadau katika hili.
No comments:
Post a Comment