Soko la Samaki Feri lionekanavyo kutokea Ng'ambo ya Kigamboni
Mnara wa kuongozea Meli Baharini.
Kikwangua anga kipya kinavyoonekana.
Vikwangua anga mbali mbali maeneo ya katikati ya jiji la Dar vionekanavyo kutokea Kigamboni.
Chombo cha kigeni kikiwa kimetia nanga bandarini.
Twin tower zetu.
Kanisa la Azania Front.
Jengo la Utumishi.
Wazee wa kazi wakiwa mzigoni.Picha zote na Mdau Geofrey Adroph wa Pamoja Blog.
No comments:
Post a Comment