Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akisikiliza maelezo kutoka kwa Bi. Sikitu Mwanakatwe kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na TTCL.
Naibu waziri wa Nishati na madini Mheshimiwa Steven Masele akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kupata maelezo kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na TTCL.
Waziri
wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge Mhe. William Lukuvi
akipata maelezo kutoka wa Josephine Mwakapugi kuhusu huduma zipatikanazo
katika simu za kiganjani za TTCL "SMART PHONE" pamoja na punguzo kubwa
la bei ya Intarnet kwa simu zenye waya na zisizotumia waya "wireless".
Waheshimiwa wabunge wakipata maelezo kuhusu mkongo wa taifa wa mawasiliano.
No comments:
Post a Comment